



























Bei ya muuzaji: TSh 128,000,000
Land Rover Range Rover Velar ya mwaka 2022 inauzwa. Ina injini ya Diesel ya 2000cc, Automatic transmission, na imesajiliwa Tanzania. Gari ina rangi nyeupe na paa jeusi, milango 5, na imetembea kilomita 10,000. Ina sport rims, winkers, power boot, na open roof.
Business Seller • Matangazo 505 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Je, gari unalotaka kununua linauzwa bei gani? Jaza fomu fupi hapa chini upate bei halisi ya gari unalotaka kununua.
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.