





















Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 43,500,000
BMW X3 XDrive20D MSPORT
Imetunzwa katika hali nzuri sana, ina fuel consumption ya 13km/L, Diesel Engine, kila kitu kiko clean na kinafanya kazi 100%.
Gari ipo makumbusho, Kijitonyama, Bei inajumuisha usajili kwa jina la mnunuzi, mawasiliano zaidi [Tumia vitufe vya mawasiliano].
Simplify buying your dream car with our modern tools. Save your time and money today by making smart, fast, and 100% confident decisions.
Turn your car into cash! 📉💰 Whether you want to sell your vehicle or need quick cash, choose the right tools and watch your car turn into money today!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.