Mkopo kupitia gari lako

Pata Mkopo Kwa Kutumia Kadi ya Gari Lako

Una gari na unahitaji pesa haraka? Tuma taarifa za gari lako, GariPesa itakupatia mkopo kulingana na thamani ya gari lako.

Omba Mkopo Sasa

1. Jaza Taarifa za Gari

Chagua make, model, year, usajili na kiasi unachohitaji.

2. Tutakagua Maombi

Tutaangalia taarifa za gari lako na uwezo wa kupata mkopo.

3. Pokea Majibu

Utapigiwa simu kwa maelezo ya hatua inayofuata.

Huduma hii ni kwa nani?

Ni kwa mtu yoyote mwenye gari ambaye anahitaji fedha kwa matumizi binafsi, biashara, dharura, au kuongeza mtaji bila kuuza gari moja kwa moja.

Taarifa utakazojaza

Make, model, mwaka wa gari, usajili, kiasi cha mkopo unachohitaji, hali ya gari, mileage na taarifa zako za mawasiliano.

Tuma Maombi ya Mkopo

Jaza fomu fupi, kisha timu yetu itakupigia kwa maelezo zaidi.

Fungua Fomu ya Mkopo

Download GariPesa App

Soko Kuu la Magari Tanzania.