Toyota Hilux Double Cabin ya mwaka 2023 inauzwa, ikiwa imeingizwa mpya kutoka Japan. Ina injini ya 2,780cc ya Diesel, Automatic Transmission, na mfumo wa 4WD. Imetembea kilomita 30,000 na ina rangi nyeupe. Usajili wa gari unajumuishwa kwenye bei ya TZS 122,000,000.
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari 📉💰 au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.