2009 Volkswagen Golf Variant/ 1400cc / Turbo / Good music / AC / Clean
Gari imetumika kwa muda mfupi. Ni gari nzima njoo na fundi wa European Cars. Tairi mpya. Bado ina bima.
Linganisha Bei za Volkswagen Golf Tanzania kupitia orodha hizi mbili muhimu: Golf Sokoni Tanzania na Golf Sokoni Dar es salaam Tanzania. Kwa maelezo zaidi kuhusu magari ya Volkswagen, unaweza pia kutembelea tovuti rasmi ya Volkswagen ↗.