Gari imetunzwa vizuri inauwezo wa kutembea mpaka kilometa 700 bila changamoto yoyote mataili yapo mapya na ya mda gari natembea nayo mimi mwenyewe haina changamoyo yoyote ni mikwaluzo kiasi vitasa kadhaa vya milango na yakurudia rangi kama ikikupendeza mteja karibuni sana