Gari yangu iko kwenye hali nzuri kabisa,Tajiri mpya, leather seats, engine nzuri, body nzuri haihitaji kupiga rangi. Gari ipo vzr kabisa
Linganisha Bei za Toyota Harrier Tanzania kupitia orodha hizi mbili muhimu: Harrier Sokoni Tanzania na Harrier Sokoni Morogoro Tanzania. Kwa maelezo zaidi kuhusu magari ya Toyota, unaweza pia kutembelea tovuti rasmi ya Toyota ↗.