Gari imetunzwa vizuri na ina km chache na service Uwa nafanya kwa wakati na sa hivi mwez wa nane imeshafanyika service yaani kiufupi gari ipo vizuri aina kipengele na system alarm ipo…
Sifa Nyingine:
Backup camera, leather, navigation, Parking assist systems