







Bei ya muuzaji: TSh 48,000,000
Mitsubishi Canter ya mizigo, mwaka takriban 2005, imeagizwa kutoka Japan. Ina injini ya Diesel 4D35, gia manual, na AC kamili. Uwezo wa kubeba tani 3. Inauzwa kwa shilingi 48,000,000.
Business Seller β’ Matangazo 18 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Iwe unataka mkopo, ukaguzi wa gari, kubadili umiliki, au kujua bei halisi ya gari unalotaka kununua.. rahisisha ununuzi wa gari kwa kutumia huduma hizi.
Iwe unataka kuuza gari ππ° au unatafuta fedha ya haraka, chagua huduma sahihi na ubadili gari lako kuwa pesa!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.