Kabla hujaanza mawasiliano na muuzaji yoyote wa magari, chukua tahadhari 5 muhimu Kujilinda na Utapeli:
Kagua Utambulisho na NyarakaHakikisha logbook, namba ya cheses/injini na kitambulisho cha muuzaji vinawiana.
Kagua Gari MwenyeweLione kwa macho, lifanyie majaribio na ikiwezekana leta fundi alikague.
Usilipe Kabla ya Kuona GariHakikisha umeona gari, umekagua, umeridhika, ndo ulipie.
Kutana Sehemu SalamaPanga kuonana kwenye maeneo ya wazi na yenye ulinzi, na siyo sehemu za faragha.
Andika MakubalianoTumia mkataba wa mauzo na shirikisha shahidi au wakili inapowezekana.
GariPesa inawaunganisha wanunuzi na wauzaji wa magari lakini haita husika na malipo wala muamala wowote baina yao.