









Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 18,900,000
Toyota Noah ya mwaka 2009, muundo mpya, inauzwa ikiwa na rangi ya Silver. Ina injini ya Petroli ya 2.0L (3ZR-FE), automatic transmission, na imetembea kilomita 57,400. Milango yote inafunguka kwa umeme na ina mfumo wa ‘Push to start’. Gari hili lina namba za usajili za Tanzania, T710 EPT, na lipo katika hali nzuri.
Business Seller • Matangazo 34 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Simplify buying your dream car with our modern tools. Save your time and money today by making smart, fast, and 100% confident decisions.
Turn your car into cash! 📉💰 Whether you want to sell your vehicle or need quick cash, choose the right tools and watch your car turn into money today!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.