Ripoti Utapeli
Gari Ina Hali nzuri, injini haina shida yoyote, marekebisho kidog kwenye bampa la mbele. Njoo kagua gari uridhike tufanye biashara