









Bei ya muuzaji: TSh 100,000,000
Toyota Harrier mpya ya mwaka 2024, rangi nyeusi, ikiwa na injini ya 1998cc na mileage ya kilomita 45 pekee. Ina Modellista full chrome kit, magurudumu ya alloy, na mambo ya ndani ya ngozi. Gari hili lina sifa za kifahari kama Head Up Display, JBL Premium Entertainment System, kamera ya 360, na viti vyenye uwezo wa kupoza na kupasha moto. Haijasajiliwa nchini Tanzania.
Business Seller • Matangazo 12 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Simplify buying your dream car with our modern tools. Save your time and money today by making smart, fast, and 100% confident decisions.
Turn your car into cash! 📉💰 Whether you want to sell your vehicle or need quick cash, choose the right tools and watch your car turn into money today!
Je, gari unalotaka kununua linauzwa bei gani? Jaza fomu fupi hapa chini upate bei halisi ya gari unalotaka kununua.
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.