





















Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 56,500,000
Toyota Harrier Premium Package ya mwaka 2014 inauzwa. Gari hili la rangi nyeusi lina injini ya petroli ya 1986cc na limetembea kilomita 63,000. Ina viti vya ngozi nyeusi, mfumo wa muziki wa JBL, na matairi mapya yenye rimu za inchi 21. Imeingizwa kutoka nje ya nchi na usajili wake ni bure.
Business Seller • Matangazo 51 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Simplify buying your dream car with our modern tools. Save your time and money today by making smart, fast, and 100% confident decisions.
Turn your car into cash! 📉💰 Whether you want to sell your vehicle or need quick cash, choose the right tools and watch your car turn into money today!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari Tanzania.