Hili gari ni very comfortable kuendesha nauza sababu ntak nsafiri na nyumbani hakuna mwendeshaji n mtu wa kulitunza, gari ipo katika hali nthur oil n service muhim tayar zimefanyika, KARIBU TUFANYE BIASHARA
Sifa Nyingine:
Brake assist, Lane keeping assist, leather, navigation