









Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 44,500,000
Toyota Land Cruiser Prado 120 ya mwaka 2006 inauzwa. Ina injini ya 2680cc (2TR), mileage 89,669 km, na rangi ya Dark Blue. Gari hili lina namba za usajili Namba D (T436 DTS) na tayari limetumika Tanzania. Ipo katika hali nzuri na ina AC kamili, rimu za michezo na matairi mapya. Kodi zote zimelipwa.
Simplify buying your dream car with our modern tools. Save your time and money today by making smart, fast, and 100% confident decisions.
Turn your car into cash! 📉💰 Whether you want to sell your vehicle or need quick cash, choose the right tools and watch your car turn into money today!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.