









Bei ya muuzaji: TSh 24,500,000
Toyota Ractis ya mwaka 2015 inauzwa, ikiwa na injini ya 1490cc na imetembea kilomita 53,500. Gari hili la rangi ya kijivu lina paa la kioo (panoramic sunroof), viti vya ngozi, na mfumo wa kuwasha kwa kitufe (push to start). Bei ni milioni 24.5 pamoja na usajili, ikiwa imetumika nje ya nchi.
Simplify buying your dream car with our modern tools. Save your time and money today by making smart, fast, and 100% confident decisions.
Turn your car into cash! 📉💰 Whether you want to sell your vehicle or need quick cash, choose the right tools and watch your car turn into money today!
Je, gari unalotaka kununua linauzwa bei gani? Jaza fomu fupi hapa chini upate bei halisi ya gari unalotaka kununua.
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.