







Bei ya muuzaji: TSh 14,000,000
Mitsubishi Pajero Mini ya mwaka 2010, injini 650cc, na mfumo wa 4×4 inauzwa kwa TZS 14,000,000 (maongezi). Gari hili la rangi ya Silver lina mileage ya kilomita 89,000, lina AC kamili na nyaraka zote. Imeingia nchini hivi karibuni na bado haijasajiliwa.
Business Seller β’ Matangazo 2 β’ Anatumia GariPesa tangu 2026
Simplify buying your dream car with our modern tools. Save your time and money today by making smart, fast, and 100% confident decisions.
Turn your car into cash! ππ° Whether you want to sell your vehicle or need quick cash, choose the right tools and watch your car turn into money today!
Je, gari unalotaka kununua linauzwa bei gani? Jaza fomu fupi hapa chini upate bei halisi ya gari unalotaka kununua.
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.