

















Epuka Kuuziwa Gari Bovu! Kabla huja-lipia tutakagua engine, gearbox na hitilafu zote za gari zinazoweza kukupa hasara kubwa katika matengenezo. Pata ukaguzi kamili kwa TSh 49,000/= tu popote ndani ya Dar es salaam.
🔍 Book Ukaguzi LeoUmepungukiwa Fedha ya Malipo ya Gari? Ondoa shaka! GariPesa tutakupa mkopo wa haraka, ulipie gari hili liwe lako.
🏦 Omba Mkopo SasaBei ya muuzaji: TSh 82,000,000
BMW X3 mpya iliyowasili, modeli ya 2018, yenye injini ya 2000cc ya diseli na gia otomatiki. Gari hili jeupe lina mambo ya ndani ya ngozi ya kahawia, milango ya nyuma inayofunguka kwa sensor ya mguu, matairi mapya, dashibodi ya kidijitali, mfumo wa kuegesha otomatiki, kamera za 360, na viti vya umeme. Haijasajiliwa na inauzwa kwa TZS 82,000,000.
Business Seller • Matangazo 43 • Anatumia GariPesa tangu 2026
Simplify buying your dream car with our modern tools. Save your time and money today by making smart, fast, and 100% confident decisions.
Turn your car into cash! 📉💰 Whether you want to sell your vehicle or need quick cash, choose the right tools and watch your car turn into money today!
Download GariPesa App
Soko Kuu la Magari.