Gari ni mpya kabisa nimeemport 0km brand new mimi ndo mmiliki halali wa gari mteja akinunua gari yangu namfanyia vitu vifatavyo bure kama offer
1. Full registration
2. Namtengenezea special no.
3. Car service
4. Fuel Full tank
Karibuni sana wateja wangu